Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesema Makamu Mwenyekiti wake John Heche amefunguliwa mashtaka ya ugaidi, ...
Machafuko yalikumba uchaguzi mkuu wa Tanzania, uliofanyika Oktoba 29, 2025 na rais Samia Suluhu Hassan kutangazwa mshindi kwa kupata asilimia 97.6 ya kura. Chama kikuu cha upinzani CHADEMA, ...
DK. MWIGULU Lameck Nchemba ni miongoni mwa viongozi wa kisasa wa Tanzania wanaotambulika kwa umahiri katika taaluma ya uchumi ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA chadai kuwa vikosi vya usalama vilikuwa vikitupa miili ya mamia ya waliouawa katika ghasia za uchaguzi.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, amefunguliwa mashtaka ya ugaidi — siku chache baada ya ghasia za uchaguzi mkuu.