Shirika la kimataifa la Amnesty International,limetuhumu makampuni makubwa ya mafuta ikiwemo Shell kwa kuficha ukweli kuhusu kuvuja kwa mafuta nchini Nigeria. Kwa mujibu wa shirika hilo, makampuni ya ...