MWANAMUZIKI mkongwe wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Rose Muhando, ameeleza ugumu aliopitia katika maisha yake.