BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewachagua Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Wolfgang Pisa kuwa Rais wake na Askofu wa Jimbo la Katoliki Mpanda, Eusebius Nzingilwa kuwa Makamu wa Rais.
MKUU wa Majeshi mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo, amezielezea saa ngumu za maagizo alizozipitia wakati Rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli alipozidiwa hospitalini hadi kufariki dunia. Jenerali ...