BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewachagua Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Wolfgang Pisa kuwa Rais wake na Askofu wa Jimbo la Katoliki Mpanda, Eusebius Nzingilwa kuwa Makamu wa Rais.